IQNA

Wanamichezo Waislamu

Kocha Mfaransa asilimu Algeria akiwa amevutiwa na mapambano ya Wapalestina

IQNA – Patrice Beaumelle, kocha wa soka wa Ufaransa ambaye kwa sasa anaongoza timu ya Mouloudia d'Alger katika ligi kuu ya soka ya Algeria, amesilimu.
Qiraa ya Qur'ani

Mahaba ya Qari Mutawalli Abdul Aal wa Misri katika Kusoma Qur'ani Tukufu

IQNA – Sheikh Mutawalli Abdul Aal Alikuwa qari mkubwa wa Misri ambaye alihifadhi shauku yake ya kusoma hadi siku za mwisho za uhai wake.
Chuki dhidi ya Uislamu

Vitendo vya kusikitisha vya kuvunjia heshima Qur'ani vyaendelea Uswidi

IQNA - Inaonekana hakuna nia nchini Uswidi ya kukomesha vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu, vitendo ambavyo vimewasikitisha na kuwakasirisha Waislamu...
Watetezi wa Palestina

Maelezo kuhusu ukandamizaji wa wanafunzi watetezi wa Palestina nchini Marekani

IQNA-Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa zaidi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ambapo serikali ya Biden imetoa msaada mkubwa zaidi wa kijeshi na silaha...
Habari Maalumu
Mikakati ya Qur'ani Tukufu kuhusu Nidhamu ya Kihisia
Nidhamu Katika Qur'ani /6

Mikakati ya Qur'ani Tukufu kuhusu Nidhamu ya Kihisia

IQNA - Ili kutusaidia kupanga hisia zetu na kuboresha nidhamu yetu ya kihisia, Qur'an Tukufu inawasilisha mikakati au stratijia zinazoweza kutumika.
27 Apr 2024, 14:40
Kijana wa Nigeria azawadiwa tiketi ya Hija kwa ustadi wake wa kuhifadhi Qur'ani
Hafidh wa Qur'ani

Kijana wa Nigeria azawadiwa tiketi ya Hija kwa ustadi wake wa kuhifadhi Qur'ani

IQNA - Bodi ya Ustawi wa Mahujaji wa Jimbo la Kano nchini Nigeria imemtunuku zawadi ya tiketi ya Hija kina Ja’afar Yusuf mwenye umri wa miaka 16 kwa sababu...
27 Apr 2024, 11:09
UN: Gaza inahitaji miaka 14 kutegua mabomu yaliyondondoshwa na Israel
Jinai za Israel

UN: Gaza inahitaji miaka 14 kutegua mabomu yaliyondondoshwa na Israel

IQNA-Kwa muda wa karibu miezi saba sasa, utawala katili wa Israel umekuwa ukidondosha mabomu kila siku katika Ukanda wa Gaza na sasa Umoja wa Mataifa unasema...
27 Apr 2024, 11:02
Kocha wa Kandanda wa Ureno José Morais asilimu nchini Iran
Uislamu

Kocha wa Kandanda wa Ureno José Morais asilimu nchini Iran

IQNA - José Manuel Ferreira de Morais, kocha wa Ureno wa timu ya Sepahan SC ya Iran, amethibitisha kwamba amesilimu.
27 Apr 2024, 10:56
Msahafu wa zama za Uthmaniyya wauzwa kwa dola 144,000 katika mnada London
Turathi za Kiislamu

Msahafu wa zama za Uthmaniyya wauzwa kwa dola 144,000 katika mnada London

IQNA – Msahafu wa kipekee wa zama za Uthmaniyya umeuzwa katika katika mnada wa turathi za Kiislamu jijini London, Uingereza.
27 Apr 2024, 11:19
Rais Raisi: Iran inaweza kuzisaidia nchi za Afrika katika uga wa ustawi wa teknolojia
Diplomasia

Rais Raisi: Iran inaweza kuzisaidia nchi za Afrika katika uga wa ustawi wa teknolojia

IQNA-Raisi Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna irada baina ya Iran na Afrika kuimarisha na kustawisha uhusiano wa kibiashara na kuongeza...
26 Apr 2024, 20:30
Afrika Kusini yasisitiza ulazima wa uchunguzi kuhusu makaburi ya halaiki huko Gaza
Jinai za Israel

Afrika Kusini yasisitiza ulazima wa uchunguzi kuhusu makaburi ya halaiki huko Gaza

IQNA-Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Afrika Kusini imetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu makaburi ya umati yaliyogunduliwa katika...
26 Apr 2024, 20:59
Maelfu ya wafungwa wa Iran wahifadhi Qur’ani wakiwa gerezani
Harakati za Qur'ani

Maelfu ya wafungwa wa Iran wahifadhi Qur’ani wakiwa gerezani

IQNA - Maelfu ya wafungwa katika jela za Jamhuri ya Kiislamu Iran wamefaulu kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu au juzuu kadhaa wakiwa wanatumikia vifungo...
26 Apr 2024, 22:51
Msikiti wa Mtume SAW wakaribisha waumini milioni 5.9 kwa wiki
Al-Masjid An-Nabawī

Msikiti wa Mtume SAW wakaribisha waumini milioni 5.9 kwa wiki

IQNA - Mamlaka za Saudia zimeripoti kuwa zaidi ya waumini milioni 5.9 walitembelea Msikiti wa Mtume (Al-Masjid An-Nabawī) wiki iliyopita.
26 Apr 2024, 11:30
Msikize Sheikh Abdul Basit akisoma kwa unyenyekevu Aya za  Surah Adh-Dhariyat (+Video)

Msikize Sheikh Abdul Basit akisoma kwa unyenyekevu Aya za Surah Adh-Dhariyat (+Video)

IQNA - Marehemu qari wa Misri Sheikh Abdul Basit Abdul Samad anajulikana katika ulimwengu wa Kiislamu kama mmoja wa wasomaji wakubwa wa Qur'ani Tukufu
25 Apr 2024, 17:33
Mkuu wa Al-Azhar asisitiza tarjuma sahihi ya maandiko ya Kiislamu
Elimu

Mkuu wa Al-Azhar asisitiza tarjuma sahihi ya maandiko ya Kiislamu

IQNA - Rais wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri ameisitiza haja ya kulipa kipaumbele maalum  suala la tarjuma au tafsiri sahihi ya maandishi...
25 Apr 2024, 17:23
Qari wa Morocco ashika nafasi ya kwanza katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Bahrain
Mashindano ya Qur'ani

Qari wa Morocco ashika nafasi ya kwanza katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Bahrain

IQNA - Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Bahrain yalihitimishwa Jumatano usiku.
25 Apr 2024, 17:09
UNRWA yaomba misaada ya kibinadamu Palestina, Israel yaendeleza mauaji ya kimbari
Mauaji ya Kimbari Gaza

UNRWA yaomba misaada ya kibinadamu Palestina, Israel yaendeleza mauaji ya kimbari

IQNA - Ili kushughulikia mahitaji ya dharura zaidi ya Wapalestina huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia...
25 Apr 2024, 17:02
Kujistahi na nidhamu ya kihisia kulingana na Qur'ani
Nidhamu Katika Qur'ani/ 5

Kujistahi na nidhamu ya kihisia kulingana na Qur'ani

IQNA - Sababu kuu ya hisia nyingi zisizohitajika ni ukosefu wa kujistahi au ile hisia ya kujiheshimu.
24 Apr 2024, 20:54
Mashindano ya Qur'ani ya Malaysia
Mashindano ya Qur'ani

Mashindano ya Qur'ani ya Malaysia

IQNA - Mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani katika jimbo la Sabah nchini Malaysia yamezinduliwa katika mji wa Kota Kinabalu Jumatano
24 Apr 2024, 20:40
Msahafu wa zama za Uthmaniyya kupigwa mnada jijini London
Turathi za Kiislamu

Msahafu wa zama za Uthmaniyya kupigwa mnada jijini London

IQNA – Msahafu wa kipekee wa enzi za Uthmaniyya ni miongoni mwa bidhaa za sanaa za Kiislamu zitakazopigwa mnada Sotheby's London wiki hii.
24 Apr 2024, 20:31
Picha‎ - Filamu‎